ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Leooooo leo ni leo leooo kivumbi na jasho [emoji445][emoji445][emoji443][emoji344][emoji344]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Ye kila siku analia hasara hiyo hela si bora arekebishe INGREDIENTS za JUICE zake?Za ndani kabisaa.. Mo amewaahidi Mil 500 wachezaji wakishinda/wakimtoa Wydad
Nguvu moyaWanasiiiimbaaaaa 🦁😋❤️
Ameitoa kwenye hasara au faida?Za ndani kabisaa.. Mo amewaahidi Mil 500 wachezaji wakishinda/wakimtoa Wydad
Acha warudi hapa wacheze na kina Lipuli ndio level zaoBado tunazengea humu km inzi kwenye kidonda[emoji23][emoji23][emoji23] mwarabu atawafirimba haswa
Ametoa kwenye zile bil 20 za uwekezaji wa mchongoAmeitoa kwenye hasara au faida?
😂😂😂Sijawahi kuangalia mechi za Dundukaz dk 90 ila leo nimepania niwahi mapema nusu sasa kabla ya mechi Kibanda umiza.
Naona mmekata tamaa mapema Madunduka nyie...Simba hana cha kupoteza kama unaweza lete timu lako tukufanye kama april 16