FT: Wydad Casablanca 1-0 (Penati 4-3) Simba S.C | CAF Champions League | Simba yaondolewa kwa mikwaju ya penati

FT: Wydad Casablanca 1-0 (Penati 4-3) Simba S.C | CAF Champions League | Simba yaondolewa kwa mikwaju ya penati

Simba anaweza fanya maajabu,waarabu wakizuiwa dk 20 bila kupata goli wanachanganyikiwa simba anarudi mchezoni mara wanapata goli...mlima mrefu wydad njeee....
 
Muindi matokeo yenu anayo.
Screenshot_20230428_191219_Chrome.jpg
 
Ila leo ni leo. Mimi huwa nalala saa 4 usiku nadhani tutasalimiana kesho mtani
😅
Hakika leo ndo leo Mtani.

😂😂 Mi mwenyewe nalalaga saa mbili ila nawish nilale kisha niamke saa 4 niangalie game sijui kama nitaweza. 😂😂
 
Back
Top Bottom