Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Fair kabisa,tukio gani ameiminya Simba?Mkuu ukiona huyu refa yupo fair kweli!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fair kabisa,tukio gani ameiminya Simba?Mkuu ukiona huyu refa yupo fair kweli!!!
Namaanisha matokeo yakibaki hivi90+4
Huyu mwarabu alikuwa anatoka mapema.... tukienda matuta.. law of attraction inaweza kuwabeba wakapita...Twende matuta tujue ni nani ana bahati ya kuendelea maana kimpira tumelingana, eeeh Mungu tusaidie sisi aiaeeh.
Mikwaju ya penalti chapu kwa harakaNamaanisha matokeo yakibaki hivi
Ni Penalty amna extra timeNamaanisha matokeo yakibaki hivi
Hamna cha dakika 30 za nyongezaMikwaju ya penalti chapu kwa haraka
Nawasilisha
Wengi waliotaribi hivyo hata kubet hawakubetNiwape pole wale punters, wengi walitabiri hadi 3.5over wakidhani kutakuwa na mvua ya magoli. Hekko Simba.