FT: Wydad Casablanca 1-0 (Penati 4-3) Simba S.C | CAF Champions League | Simba yaondolewa kwa mikwaju ya penati

FT: Wydad Casablanca 1-0 (Penati 4-3) Simba S.C | CAF Champions League | Simba yaondolewa kwa mikwaju ya penati

Twende matuta tujue ni nani ana bahati ya kuendelea maana kimpira tumelingana, eeeh Mungu tusaidie sisi aiaeeh.
Huyu mwarabu alikuwa anatoka mapema.... tukienda matuta.. law of attraction inaweza kuwabeba wakapita...

Basi tu simba tumetupa shilingi chooni mechi ya kwanza.. huyu tulikuwa tunamuokota 2 bila leo tungekuwa tunashanglia hapa
 
Nawasilisha
IMG-20230428-WA0133.jpg
 
Back
Top Bottom