Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Beki asifiwi.nyie mnataka onyango acheze kama mchezaji wa mbele.hebu mpeni onyango heshima yake.onyango ukimcheki akiwa anapokea maelekezo utafikiri ni mtu makini vibaya mno
Oyaaa Hawa waarabu Kwa Mkapa tulikosea sana, wasingetoboa.Hata tukitoka hapa sina wasiwasi, tutakuwa tumetoka kwa heshima dhidi ya team inayoeleweka Africa.
Sana washangiliaji wa wydad wanapiga kelele lkn wanaonekana kabisa hawana rahaSimba wametuheshimisha.
IN SHAA ALLAAHTunaenda nusu fainali kwa penati
Hakuna 120?Penalty sasa,
Endelea kuminya penalty hizo, Minya ngogwe hizo hadi zitufukeKorodani zipumzike sasa.
Kombe la wakubwa sio lile la waliofeliHongereni sana madunduka,mmepambana
[emoji23][emoji23]Korodani zipumzike sasa.
Nusu fainali tumeshaingia, kuwa na amani.Hata tukitoka hapa sina wasiwasi, tutakuwa tumetoka kwa heshima dhidi ya team inayoeleweka Africa.
Ila ndo hivo... kwenye mpira huwezi tumia nafasi zote... hata goli la leo wamebahatisha tu... hawa nyau walikuwa wanatokaHawa waarabu tulikua tunawamaliza Kwa Mkapa.
Hakuna ni penalty,Hakuna 120?
Naam, Simba wapo vizuri sana..Hapa hata tukitolewa sawa tu. Kiroho safi
Waarabu wa magomeniMnyama anashinda hii aisee [emoji23][emoji23] Hawa waarabu gani Hawa