FT: Wydad Casablanca 1-0 (Penati 4-3) Simba S.C | CAF Champions League | Simba yaondolewa kwa mikwaju ya penati

FT: Wydad Casablanca 1-0 (Penati 4-3) Simba S.C | CAF Champions League | Simba yaondolewa kwa mikwaju ya penati

Yaani hatujifunzi , mara mbili mfululizo tunatolewa Kwa penati
Ni kama Simba walikuwa wanasubiri penati, ajabu kumbe huko ni wabovu zaido.
Kocha alipaswa kutambua mapema, angetafuta hata dakika 5 tu za mashambulizi mazito msingekosa gori.

Kimsingi Timu zote zimejihami mwanzo mwisho.
 
Atachezea nyingi sana huyu Wydad.
images (64).jpeg
 
Penalty hazina mwenyewe mkuu, mimi nimesikitika ila sio kama ambavyo ningeumia tungefungwa ndani ya dk 90.

Kizuri ni kwamba kocha kaonyesha matumaini kwa hikihiki kikosi cha kawaida, uhakika wa kushiriki tena CAFCL na kuvuka makundi mpaka sasa bado tunao ikiwa utafanyika usajili wa maana. Shida iliyopo ni hao madalali ambao kila siku wamekuwa wakutuletea wachezaji wa ajabu.

Kati ya pro wote pale Simba Sc emagine tunatumia sita (6) tu, team ikifanya usajili mzuri kisha tusifukuze kocha, basi msimu ujao utakuwa mzuri huku CAFCL.
Penye ukweli kuwa wazi, hii level Yanga alitolewa na Al hilal hata makundi hakuingia

Kuhusu huko shirikisho, km simba angekuwa huko kwa team za mwaka huu, angefika final na kuchukua kombe.
Shirikisho mwaka huu kuna team za hovyo wengi wageni wa mashindano Huyu Wydad Ana miaka mitano mfululizo anaingia nusu fainali sio team ndogo hii tena wakiwa kwao hakika tumepambana

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Penye ukweli kuwa wazi, hii level Yanga alitolewa na Al hilal hata makundi hakuingia

Kuhusu huko shirikisho, km simba angekuwa huko kwa team za mwaka huu, angefika final na kuchukua kombe.
Acha kujifariji na kipigo mlichopata na kutolewa nje ya mashindano.
 
[emoji17][emoji17]
Niliichukia penalty toka Fainali za Kombe la Dunia tulichofanywa Team France.!![emoji119]
Atleast leo umeungana na mimi bila shinikizo licha ya kuwa shabiki la utopolo, mara mojamoja sio mbaya ku-side kwangu.

Au unasemaje PP?
 
Penalty hazina mwenyewe mkuu, mimi nimesikitika ila sio kama ambavyo ningeumia tungefungwa ndani ya dk 90.

Kizuri ni kwamba kocha kaonyesha matumaini kwa hikihiki kikosi cha kawaida, uhakika wa kushiriki tena CAFCL na kuvuka makundi mpaka sasa bado tunao ikiwa utafanyika usajili wa maana. Shida iliyopo ni hao madalali ambao kila siku wamekuwa wakutuletea wachezaji wa ajabu.

Kati ya pro wote pale Simba Sc emagine tunatumia sita (6) tu, team ikifanya usajili mzuri kisha tusifukuze kocha, basi msimu ujao utakuwa mzuri huku CAFCL.
Kocha ana kitu, hapo ni kufanya usajili mzur tu. Simba ss hv imeshajiwekea kiwango cha kufika robo fainal club bingwa na naamini ndani ya miaka 2 au 3 tunaweza kufika nusu fainali au fainali.
 
Back
Top Bottom