FT: Wydad Casablanca 1-0 (Penati 4-3) Simba S.C | CAF Champions League | Simba yaondolewa kwa mikwaju ya penati

FT: Wydad Casablanca 1-0 (Penati 4-3) Simba S.C | CAF Champions League | Simba yaondolewa kwa mikwaju ya penati

mashabiki wa simba baada ya mpira kuisha
IMG-20230429-WA0000.jpg
 
Wamepigwa kama NGOMA ,Mandonga Mtu Kazi 😀 😀 ,Kwishney patel nei nei kemcho amdabat islamabad.
 
Au aende UEFA akawaulize Man city watampa majibu, labda mwaka huu Man city anaweza kubeba UEFA.
Ana hoja za kitoto sana , haohao sijawahi kusikia wanaiponda Mamelod yaani ushabiki wa Simba na Yanga umeharibu kila zuri yaani mtu wa timu A hakubaliani na chochote cha timu B
Kabla ya mechi walisema tutapigwa nje ndani kama Raja alivyofanya .Baada ya mechi ya kwanza wakasema mmegusa sharubu za wanaume mtakiona Mohammed V mtafungwa si chini ya 5.Mambo yamekwenda kinyume na matarajio yao leo wanasema Simba kafeli pakubwa yaani ilimradi tu waongee negativity juu ya timu pinzani.

Kama Man City na PSG kwa uwekezaji wao wameshindwa kuchukua UEFA na kila mwaka wanashiriki sisi ambao uwekezaji wetu bado ni wa chini kwa nini tuumie sana kwamba hatujachukua kikombe hiki wakati tunajua fika waliotutoa ni wakubwa kuliko sisi?

Tungetolewa na Vipers, Horoya na hivyo vitimu vya Shirikisho ndo ningesikia nimefeli sio kwa kutolewa na Wydad tena kwa penalties nyumbani kwao.Ipo siku tutachukua kombe hili kwa improvement iliyopo sina shaka

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]
 
Kila nikikutana na hii misemo nawakumbuka wale niliotazama nao mechi. Kwa dk 95 wao ndo hawakuwa na raha kwa sababu kilichotokea sicho walichokuwa wanakiombea kitokee.

Simba imetolewa ila furaha wanaikosa wengine kwa sababu wanajua mashabiki wa simba hawana deni kwa timu yao kwa walichoshuhudia uwanjani katika mashindano ambayo wao yaliwashinda mapema sana. Wao ndo wanaojifariji.
 
Mjipange kwa ajili ya msimu ujao. Robo fainali ndiyo kipimo chenu cha mwisho cha mafanikio.
 
Back
Top Bottom