Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo milioni 20 unatoa wewe? 🤣🤣🤣Milioni 20
Ujuaji ni moja ya tatizo linalo tutafuna sana kama nchi !!Simba walikuwa wanapoteza muda, mpira unatoka wanajivuta kwenda kurusha, wenzao wakipata nafasi hawapotezi muda.
Hayo ni maelekezo ya kocha huku wakijua ni wabovu kwenye penati.
Simba hawakuwa na chakupoteza, walitakiwa wajitokeze mbele wafunge.
Wao wakaenda kaba.
Hata Dsm napo walikosea hivyohivyo
Kwamba we hukuona makosa au ndo washabikia kutoka kiume?Ujuaji ni moja ya tatizo linalo tutafuna sana kama nchi !!
Hahahaaa! Lol.
Mkuu wana kamsemo kao kapya eti "tumekufa kiume" wanasahau kwamba kufa ni kufa tu. 😀😀
NA hawajatuangusha..!! Mimi Wydad ni CHAMA LANGU TANGU PRIMARYWaydad ni ndugu zetu, wasituangushe.
Na wanasahau kuwa WANAWAKE NAO HUWA WANAKUFA..!! Hawaishi milele..!!Hahahaaa! Lol.
Mkuu wana kamsemo kao kapya eti "tumekufa kiume" wanasahau kwamba kufa ni kufa tu. 😀😀
Asante,ndio matokeo ya mpira yalivyo,tujipange kwa msimu ujao.Pole sana Bro. Naona mwendo mmeumaliza.
Hapa ndio wengi mnapofeliWydad mwaka huu ni timu dhaifu mno; ilikuwa inabebewa na jina la mwaka jana tu. Sitashangaa iwapo hawatavuka nusu fainali.
😂😂😂 Kabisa Mkuu.Na wanasahau kuwa WANAWAKE NAO HUWA WANAKUFA..!! Hawaishi milele..!!
TuliiiiiiiiiNchi imetulia
Weka hapa hizo mara ngapimtani unajisahau mtaniiii
tumewatoboa mara ngapi nyie mpaka tukawazoea
Ikawaje sijaona kichapo janaNaona mmekata tamaa mapema Madunduka nyie...
Pale kwa Mohamed wa5 hakuna Mswalie Mtume.. ni kichapo tu kwa kwenda mbele..
Famasiala nn na Mwarabu ww
haya basi tufanye hiviHapa ndio wengi mnapofeli
Yani kwasababu Simba imecheza vizuri na kuwazuia Wydad washindwe kufanya kile ambacho wengi walikifikiria, ndio sababu ya kufanya waonekane dhaifu?
Kabisa hujaona nafasi ya kutoa appreciation kwa Simba badala yake unaona Wydad ndio walikuwa dhaifu?