FT: Wydad Casablanca 1-0 (Penati 4-3) Simba S.C | CAF Champions League | Simba yaondolewa kwa mikwaju ya penati

Wydad mwaka huu ni timu dhaifu mno; ilikuwa inabebewa na jina la mwaka jana tu. Sitashangaa iwapo hawatavuka nusu fainali.
 
Mwenye clip ya Onyango akiwa ana chambuliwa anitumie nina kazi nayo [emoji23]
 
Simba walikuwa wanapoteza muda, mpira unatoka wanajivuta kwenda kurusha, wenzao wakipata nafasi hawapotezi muda.

Hayo ni maelekezo ya kocha huku wakijua ni wabovu kwenye penati.

Simba hawakuwa na chakupoteza, walitakiwa wajitokeze mbele wafunge.

Wao wakaenda kaba.

Hata Dsm napo walikosea hivyohivyo
 
Ujuaji ni moja ya tatizo linalo tutafuna sana kama nchi !!
 
Wydad mwaka huu ni timu dhaifu mno; ilikuwa inabebewa na jina la mwaka jana tu. Sitashangaa iwapo hawatavuka nusu fainali.
Hapa ndio wengi mnapofeli

Yani kwasababu Simba imecheza vizuri na kuwazuia Wydad washindwe kufanya kile ambacho wengi walikifikiria, ndio sababu ya kufanya waonekane dhaifu?

Kabisa hujaona nafasi ya kutoa appreciation kwa Simba badala yake unaona Wydad ndio walikuwa dhaifu?
 
haya basi tufanye hivi
simba 2 ~ wydad 1 mzee
 
Back
Top Bottom