Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Lini mtapata nafasi ya kucheza na Wydad?haya basi tufanye hivi
simba 2 ~ wydad 1 mzee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lini mtapata nafasi ya kucheza na Wydad?haya basi tufanye hivi
simba 2 ~ wydad 1 mzee
mada ni simba na wydad mkuuLini mtapata nafasi ya kucheza na Wydad?
Hakuna Cha kutoka kiume, kuvunjiwa yai ni kulekuleKwamba we hukuona makosa au ndo washabikia kutoka kiume?
Wameshapagawa hao, unaweza ukamgusa mkono akakwambia usivute nywele zakemada ni simba na wydad mkuu
mbona kama unataka kurusha ngumi?
Kweli,, issue ni destiny haijalishi imekuaje hadi kufika hapoUkibakwa umebakwa tu, huwezi jisifu eti”hata hiivyo kahangaika sana kunibaka” [emoji14][emoji14]
Bado unatembea na mambo ya enzi za UJIMA kama reference.. kubalini tu jana mmeliwa kiboga Mbaga JrIkawaje sijaona kichapo jana
Huwezi kufananisha uto na simba mlikufa 6:0 pale kasablanka
Usisahau kuwa ni yaleyale mliyowashia moto uwanjani mkala fainiHaya ambayo mliingia kwa sifa ya kutolewa yale mengine?
Ni wewe huyo leo unaona umuhimu wa appreciation??lini uliwahi kuitoa kwa wananchi walipofanya vizuri?kila anaefungwa na Yanga kwako ww unamuona dhaifu leo umeambiwa wydad ya msimu huu dhaifu unakaza meno.Hapa ndio wengi mnapofeli
Yani kwasababu Simba imecheza vizuri na kuwazuia Wydad washindwe kufanya kile ambacho wengi walikifikiria, ndio sababu ya kufanya waonekane dhaifu?
Kabisa hujaona nafasi ya kutoa appreciation kwa Simba badala yake unaona Wydad ndio walikuwa dhaifu?
Tabia za wachezaji zisizo za kimaadili si msimamo wa Club. Wachezaji wanasajiliwa,wanakuja na kuondoka na tabia zao.Usisahau kuwa ni yaleyale mliyowashia moto uwanjani mkala faini
kuna mmoja huku anatembea na mawe mkononi atakuwa ndo Scars tu huyuWameshapagawa hao, unaweza ukamgusa mkono akakwambia usivute nywele zake
Ndio hao wanaotembea wameficha visu. Tahadhari muhimu jama eee.Dah!...Mkuu punguza hasira..
Wamepigwa square pipe imewavuruga medulla oblongatakuna mmoja huku anatembea na mawe mkononi atakuwa ndo Scars tu huyu
Ni club ndio maana iliwajibika kwenye kulipa faini.. kwanini caf hawakumpiga mchezaji mmojammoja?Tabia za wachezaji zisizo za kimaadili si msimamo wa Club. Wachezaji wanasajiliwa,wanakuja na kuondoka na tabia zao.
[emoji15] 𝒊 𝒔𝒆𝒆Wao wamewafunga goli moja tu.. Tena Kwa Mkapa. Sasa si wqngewatabiria Azam wanaowakonyeaga dakika ya 2 tu mijitu ishafika kilelen
Yah dawa Yao ni kuwachakaza nyumbani goli za kutosha. Hao ndo Machampion ni kwamba Simba ubora umeongezeka na mbinu za Kocha.Hahahaa! Ujue hadi nikawaza hivi hawa ndo MaChampions kweli ama.
Ila hawa mlipaswa kuwamalizia Kwa Mkapa.
#PoleMtani.
Ukiona yupo hakuna optionTutaiita "kuaminiwa" pale ambapo kocha atakuwa na option nyingine zinazoeleweka.
Yanga mbona kapigwa na simba ?Kama ambavyo mlimuona TP Mazembe mchovu kwa kuwa kapigwa na Yanga bila kujali Yanga ni wazuri pia
Wewe hukufuatilia michezo yote ya CAF mwaka huu. Sijui unatumia TV services zipi lakini tuliofuatilia michezo yote ya CAF tutakuambia kuwa Wydad walikuwa wanamtegemea mchezaji mmoja tu, ambaye akibanwa basi wanashindwa kutoboa. Mbinu iliyoptumia na timu za AS Vita za kumbana mchezaji huo ndizo pia zilizotumiwa na Simba. Timu inayotegemea mchezaji mmoja ni timu dhaifu, na kwa vile timu zote zilozobaki zimeshaujua udhaifu huo; ngoja tusubiri matokeo.Hapa ndio wengi mnapofeli
Yani kwasababu Simba imecheza vizuri na kuwazuia Wydad washindwe kufanya kile ambacho wengi walikifikiria, ndio sababu ya kufanya waonekane dhaifu?
Kabisa hujaona nafasi ya kutoa appreciation kwa Simba badala yake unaona Wydad ndio walikuwa dhaifu?