Gusa. Achia. Twenda kwao.
Ni ligi ya mabingwa Afrika, Yanga wakiwa nyumbani watawakaribisha MC Alger katika mchezo wa mwisho wa makundi.
Ni mchezo ambao Yanga atahitaji kushinda ushindi wa aina yoyote ile ili kuweza kufuzu robo fainali.
Yanga imekuwa na fomu nzuri ya matokeo kwa mechi za karibuni lakini MC Alger nae akiwa na rekodi ya kutopoteza mchezo akiwa ugenini msimu huu.
Mechi hii ya aina yake itapigwa saa 10:00 jioni
Kila la heri kwa Mabingwa wa Tanzania, Taifa lipo nyuma yenu.
View attachment 3205353