Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tutawapiga hivyo hivyo ki mlalo mlaloWashaanza kudeka waarabu 🤣
🤣🤣🤣🤣Tutawapiga hivyo hivyo ki mlalo mlalo
Hamjawaloga vizuri...Hawa jamaa mbona kama wapo sirias 🤔
Mdogo angu hii game tunachapwa vizuuuri tuHawa kumbe tunawaweza..!
Yanga atashinda kwa goli nne (4) kwa Moja (01)Gusa. Achia. Twenda kwao.
Ni ligi ya mabingwa Afrika, Yanga wakiwa nyumbani watawakaribisha MC Alger katika mchezo wa mwisho wa makundi.
Ni mchezo ambao Yanga atahitaji kushinda ushindi wa aina yoyote ile ili kuweza kufuzu robo fainali.
Yanga imekuwa na fomu nzuri ya matokeo kwa mechi za karibuni lakini MC Alger nae akiwa na rekodi ya kutopoteza mchezo akiwa ugenini msimu huu.
Mechi hii ya aina yake itapigwa saa 10:00 jioni
Kila la heri kwa Mabingwa wa Tanzania, Taifa lipo nyuma yenu.
View attachment 3205353
Watakula za kutoshaKipa anapooza mpira, wa moto mno
Kwa hiyo ni ¼goalTumewakosakosa apa 🤣