FT: Yanga 0-0 MC Alger | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.01.2025

Naona Kama vile Yanga atalazimishwa sare na hivyo kupoteza matumaini. Ila refa anawapendelea wasrabu. Mtu kanawa mpira kwenye penalty box lakini refa akamezea tu
Umadhani kila mguso wa mkono ni faulo!? Lazima uamgalie uelekeo wa mkono na eneo ulipokuwa, au unataka wachezaji wakatwe mikono?
 
Team haina wakimbiaji aka dribbler mbaya zaidi Mzize amekua mbinafsi baada ya kusifiwa sn, Chama+Pacome wanahitajika sn plus Dube
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…