Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
- Thread starter
- #541
Dah!Kocha kazingua kuanza na Musonda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah!Kocha kazingua kuanza na Musonda
😂😂Vyura hawana usingizi
Side mnamweziNani atoke ili aingie Pacome.?
Nakumbuka kipindi tuna chama wa moto 😅😅😅Uongo
Atashinda na watu hawatoamini...hii mechi ni rahisi,watulize preshaApambane Sasa ashinde....
Mpaka Yanga ashinde leo atazipataKwahiyo zile point 39 za CAF tunazo?
Bantu Lady Shadeeya Carleen na wao pia wanalia?....Nipo uwanjani hapa watu wanalia sana
Angekuwa anatumika sana, else muarabu game yake ni physical, huna stamina huwez sustainChama ni brain ya timu ...Huwezi ku unlock hiyo lowblock ya mwarabu kwa watu kama kina Aziz Ki
Nilidhani wanaanza na GD kwanza then Head to headKundi ataongozaje huku head to head na ibenge ni 2 - 1
Tulia mkuu, kama ni kucheka ucheke mwishoni. Hawa Algers hawatabiriki.Hivi...Mnyama anapofanya mambo yake huwa hamchukui kalamu na karatasi mjifunze!? Hizi mechi zina namna ya kucheza siyo kukurupuka tu kama mbuzi!
Posession haikusaidii kitu kwenye michuano hii.
Jamani leo Dube mnamwita Lucky Dube wakati ni yeye bao lake ndilo lililofufua matumaini?Toa Musonda weka Pacome, Toa Lucky Dube weka Chama, Mzize weka namba 9.
Wanakimbiza tu upepo ila boli linewashinda yaani wanacheza kama wapo ukweni vile 😂😂mpira anaochezahyanga hawatapata goli hata la machozi..
Umadhani kila mguso wa mkono ni faulo!? Lazima uamgalie uelekeo wa mkono na eneo ulipokuwa, au unataka wachezaji wakatwe mikono?Naona Kama vile Yanga atalazimishwa sare na hivyo kupoteza matumaini. Ila refa anawapendelea wasrabu. Mtu kanawa mpira kwenye penalty box lakini refa akamezea tu
Team haina wakimbiaji aka dribbler mbaya zaidi Mzize amekua mbinafsi baada ya kusifiwa sn, Chama+Pacome wanahitajika sn plus DubeGusa. Achia. Twenda kwao.
Ni ligi ya mabingwa Afrika, Yanga wakiwa nyumbani watawakaribisha MC Alger katika mchezo wa mwisho wa makundi.
Ni mchezo ambao Yanga atahitaji kushinda ushindi wa aina yoyote ile ili kuweza kufuzu robo fainali.
Yanga imekuwa na fomu nzuri ya matokeo kwa mechi za karibuni lakini MC Alger nae akiwa na rekodi ya kutopoteza mchezo akiwa ugenini msimu huu.
Mechi hii ya aina yake itapigwa saa 10:00 jioni
Kila la heri kwa Mabingwa wa Tanzania, Taifa lipo nyuma yenu.
View attachment 3205353
Dakika ya 26 yng 0-0mca
Dakika ya 27 mca wanakosa goli la wazi
Dakika ya 28
Mudathir amefanyiwa madhambi
Dakika ya 33
Yanga SC wanapata kona
Dakika ya 35
Yanga SC wanapata kona
Dakika ya 36
Mudathir anakosa goli la wazi
Dakika ya 37
Mca wanapoteza muda sana hapa uwanjani
Pacome ndio anaingia sasaAtacheza kweli leo? Sidhani.
Dube kwenye deciosion making ni mzito mno, huu ugonjwa sijui ataumaliza lini. Bora pacome aingie, ana brain na skillsAna utulivu sasa Dube hata kutoa pasi hawezi.