Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Kwani huwa kuna mechi baada ya dakika ya 90?Kabla ya Dakika ya 90 yanga amepiga goli moja la kiufundi sana, ni ngumu kuamini lakini ndio imetokea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani huwa kuna mechi baada ya dakika ya 90?Kabla ya Dakika ya 90 yanga amepiga goli moja la kiufundi sana, ni ngumu kuamini lakini ndio imetokea
Mashabiki wana pressure ya game.....Ushabiki wa kibongo ni WA kijinga sana yaani badala mshabikie Timu yenu kuipa Nguvu ,wote walioko uwanjani wanashangaa huku Waarabu ndio wanashangilia 😁😁
Mnatuchanganya tuliopo barabarani. Kuna mmoja humu amemponda KibwanaLeo kibwana kacheza kiumee so yaan kibwana sio underrated ☺️😊
Kwahiyo side mjerumani sio bora kabisa? 🤣🤣Hapa ndipo umuhimu wa kocha bora unapohitajika, mpaka sasa awe ameshausoma mchezo afanye sub tumalize mchezo.
Haipo hiyoGooooooool
Hii kauli si nzuri kwa wanaopenda michezo na pia inaonyesha ni namna gani unafikiri negatively mkuu,, ni kwamba Yanga wanaiwakilisha nchi na siyo wewe 🤔🤔Huku ni Kwa wanaume .....makolo wabaki kombe la kina mama
Lini umewahi waona wanashangilia mda wote kama Waarabu?Mashabiki wana pressure ya game.....
Mlitakiwa mlijue hili mapemaHuku kupoteza muda Mungu atawalani