FT: Yanga 0-0 MC Alger | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.01.2025

FT: Yanga 0-0 MC Alger | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.01.2025

Kilele cha furaha leo kinaweza kuisha 😫😫
 
Hii kauli si nzuri kwa wanaopenda michezo na pia inaonyesha ni namna gani unafikiri negatively mkuu,, ni kwamba Yanga wanaiwakilisha nchi na siyo wewe 🤔🤔
Nchi yenyewe hii ya kiCCM acha wapigwe tu
 
Nyuma mwiko
1000226723.jpg
 
Back
Top Bottom