The Conscious
JF-Expert Member
- Mar 18, 2021
- 740
- 1,218
Naomba tuungane kumtakia heri Mnyama..... 🦁 🦁 🦁Uwezo wetu ndipo ulipoishia, niliwaambia mimi hatutovuka hatua hii ya makundi walionitukana wote ni mashahidi tunachokiona hapa.
Until next time, tutarudi imara.
Yanga Daima
PoleDah sawa tu