FT: Yanga 0-0 MC Alger | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.01.2025

FT: Yanga 0-0 MC Alger | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.01.2025

Mtakao mlaumu kocha leo mtamuonea tu,tulianza kukosea kwa Gamondi hili zigo la lawama ni la viongozi. Tulikosea kipindi cha kwanza basi hasa kuanza kwa Musonda basi ndio hivyo siku ishakuwa ndefu na malalamiko yaanze.
 
Back
Top Bottom