Kanali_
JF-Expert Member
- Nov 18, 2018
- 6,438
- 10,180
Si wameingia second half, wamefanya nini!? Angalau ungelia na Striker mfu Lucky Dube.Ujinga wa kocha unatucost tena, Unamuacha Pacome nje, Chama nje, Unamchezesha Musonda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si wameingia second half, wamefanya nini!? Angalau ungelia na Striker mfu Lucky Dube.Ujinga wa kocha unatucost tena, Unamuacha Pacome nje, Chama nje, Unamchezesha Musonda
Wanunue striker huyu dube wamepigwaPoleni sana Yanga. Jipangeni mjaribu tena mwakani
YeahUjinga wa kocha unatucost tena, Unamuacha Pacome nje, Chama nje, Unamchezesha Musonda
Hakuna kufa kiume in Yanga Voice walipokuwa wakiikejeli simbaMmepambana
Mmekufa kiume
Tsh uran Scars Kalpana DR Mambo Jambo OKW BOBAN SUNZU Kiweriweri Mac Alpho uran naombeni mnisaidie kumjibu huyu jamaa.Huku ni Kwa wanaume .....makolo wabaki kombe la kina mama
Na teke kiunoni,chini puuuh!Hahahaha. gusa achia baki kundini.
Mwanangu simba ina shiriki kombe la luza usijali😛😛😛😛😛Ujinga wa kocha unatucost tena, Unamuacha Pacome nje, Chama nje, Unamchezesha Musonda