chilonge
JF-Expert Member
- Dec 23, 2014
- 1,531
- 2,912
Mkuu, kwani uliomba kazi Yanga ukanyimwa?Mimi nashaangaa Dube anaachwaje dak 90
yaan hua natafakar sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, kwani uliomba kazi Yanga ukanyimwa?Mimi nashaangaa Dube anaachwaje dak 90
yaan hua natafakar sana
Gusa,achia,tubaki nyumbaniGusa, achia, twende nyumbani
Sawa kuna mama na Mama wa kamboHuku ni Kwa wanaume .....makolo wabaki kombe la kina mama
Tusubiri atawaambia nini wana -utopolo....😂😂😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄 Kama namuona ali komwe
Huyu hapa MwananchiOGMkuu Scars hauna link ya ule uzi wa vichaka?
Watatunanga kuwa huku tulipo wao walifika fainaliUtopolo kwa misemo na visingizio,ngojea tuone watakuja na kauli mbiu gani yakujifariji
Exactly 💯 nalia mimiUwezo wetu ndipo ulipoishia, niliwaambia mimi hatutovuka hatua hii ya makundi walionitukana wote ni mashahidi tunachokiona hapa.
Until next time, tutarudi imara.
Yanga Daima
Hivi Al Hilal mbona anafungwa Sana. Au kusudi?Nakuunga mkono
Yaani walivocheza na al hilal tofauti kabisa na leo
😭😭😭😭Walituita simba mwakarobo kiko wapii
Usimalize maneno mkuu, ukaja kuitia Simba gundu.....🦁🦁🦁Daaah ngoja upepo utulie tulie kwanza maana saizi ukianzisha tu uzi mods wanapita nao.
Ila trust me hatijamalizana