GUSA ACHIA BAHASHA GOLI
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 5,110
- 7,349
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lucky Dube ni striker mfu.Yanga aisee kwa huyu dube mmepigwa
Simba siyo ya mchezo!Safiiiiiiiiiiiiio,
Simba taifa kubwa
Subiri siku ya kucheza kikoba ikifika Mkuu, leo ilikuwa Klabu Bingwa.Naomba tuungane kumtakia heri Mnyama..... 🦁 🦁 🦁
Mmeanzaaa...Ujinga wa kocha unatucost tena, Unamuacha Pacome nje, Chama nje, Unamchezesha Musonda
Yanga walikuwa na uwezo wa kushinda hii gemu, possession kubwa bila mipango ya kufunga bao.Uwezo wetu ndipo ulipoishia, niliwaambia mimi hatutovuka hatua hii ya makundi walionitukana wote ni mashahidi tunachokiona hapa.
Until next time, tutarudi imara.
Yanga Daima
Mia nne mkuu.🤣🤣🤣🤣🙏Hivi Uto kama Uto wana points ngapi kwenye Rank za CAF?[emoji23]