FT: Yanga 0-0 MC Alger | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.01.2025

🏊🏊🏊🏊🏊🏊 kwenda USA kucheck madhara Ya nyumba Yangu ilioungua moto - Nilijenga kwa Tabu Sana kwa Hela za Unyanganyi, Uporaji, Ufisadi, Uwekezaji wa Dingi alikuwa Shabiki wa Yanga


 
Haijawai kumsaidia mtu.
Yote wameyataka viongozi wetu, hii mechi tulikuwa hatuhitaji magoli mengi sikuona sababu ya kuanza na double striker.Ila huwezi jua yy aliona nini, ila viongozi walitukosea kumuondoa Gamondi, huyu kocha anajenga timu kwa falsafa yake,yy anaona amepatia so huwezi mlaumu ila hakutakiwa kuanza na Musonda.

Nashukuru sipo mtaani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…