FT: Yanga 0-0 MC Alger | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.01.2025

FT: Yanga 0-0 MC Alger | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.01.2025

Yote wameyataka viongozi wetu, hii mechi tulikuwa hatuhitaji magoli mengi sikuona sababu ya kuanza na double striker.Ila huwezi jua yy aliona nini, ila viongozi walitukosea kumuondoa Gamondi, huyu kocha anajenga timu kwa falsafa yake,yy anaona amepatia so huwezi mlaumu ila hakutakiwa kuanza na Musonda.

Nashukuru sipo mtaani.
Pole mkuu mngeshinda mechi ya al hilal nyumbani msinge hitaji kukimbizana na muarabu na kwenye hii mechi jamaa hawajafanya makosa kabisaa
 
Kama kawaida ya waarabu

Hii mechi itaisha kwa jumla ya dakika 60
Binafsi nahisi hii mechi imechezwa Kwa takribani dk 40 tu....!! Warabu wamelala mara nyingi sana kuliko hata idadi ya mipira waliorusha, na kila wakilala zinakatika dk angalau 2.

Hawa jamaa itabidi Caf waangalie kukomesha hii tabia Yao, ni Tabia ya ovyo sana sio ya kiuanamichezo.
 
Yanga fukuzeni dube, musonda, boka na coach.
Halafu mpeni onyo kali mudathir ajirekebishe.
Mnawafanya baadhi ya wachezaji wateseke sana uwanjani kwasababu ya upuuzi ya wachezaji wachache... Wachezaji wanaojituma ni diara, bacca, job, kibwana, aucho na mzize na aziz.
Mshahara wa mwez January wachezaji wote na coach na bench la ufundi wapeni nusu mshahara 💩💩💩
Kipindi cha kwanza waarabu wamecheza comfortable kwasababu ya kutokuwepo Pacome, 2nd half waarabu walijua Pacome na Chama wataingia ndio maana wakaamua kupaki bus... Kwa maana hiyo Pacome na Chama wangeanza goli 2 zilikuwa zinapatikana YANGA saahizi angekuwa anachekelea Robo...
 
Binafsi nahisi hii mechi imechezwa Kwa takribani dk 40 tu....!! Warabu wamelala mara nyingi sana kuliko hata idadi ya mipira waliorusha, na kila wakilala zinakatika dk angalau 2.

Hawa jamaa itabidi Caf waangalie kukomesha hii tabia Yao, ni Tabia ya ovyo sana sio ya kiuanamichezo.
Si mliwatetea sisi tulivyowavurumishia viti?
 
Binafsi nahisi hii mechi imechezwa Kwa takribani dk 40 tu....!! Warabu wamelala mara nyingi sana kuliko hata idadi ya mipira waliorusha, na kila wakilala zinakatika dk angalau 2.

Hawa jamaa itabidi Caf waangalie kukomesha hii tabia Yao, ni Tabia ya ovyo sana sio ya kiuanamichezo.
Sisi tuliyasema haya wakati tunacheza na Sfaxien lakini kwasababu ya adui muombee njaa wengi wakawa upande wa waarabu
 
Waarabu ni NOMA

Mie Ni CHINGA nina Flemu nachukia WATEJA na Namiliki HELCOPTA pale Mwenge Jiulize hela Hapata Wapi... Nikimuona tu mteja Nampa Ugonjwa

🏊🏊🏊🏊🏊🏊 kwenda USA kucheck madhara Ya nyumba Yangu ilioungua moto - Nilijenga kwa Tabu Sana kwa Hela za Unyanganyi, Uporaji, Ufisadi, UONGO wa Kuwabambikia kesi Simba kuwa hawajafuzu

Screenshot_2025-01-18-14-45-01-26.png
 
Back
Top Bottom