uran
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 10,392
- 15,948
🤣🤣🤣🤣🤣Mbebeni kwenye machela.Mzigo wenu huo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣🤣Mbebeni kwenye machela.Mzigo wenu huo.
Tulikosea tukarudi kwenye mstari then tumekosea tena,tena kwa sababu ya kizembe kabisa, kipindi cha kwanza tunamiliki ila kwenye boksi la mpinzani mpira hautembei. Hii mechi tulikuwa tunahitaji ushindi tuu,sikuona sababu ya kuchezesha mastriker watatu.Ila ndio hivyo huyu kocha ni mpya siwezi mlaumu sababu hujui aliona nini ila na walaumu viongozi kwa kufanya maamuzi ya haraka ya kumleta kocha mpya.Pole mkuu mngeshinda mechi ya al hilal nyumbani msinge hitaji kukimbizana na muarabu na kwenye hii mechi jamaa hawajafanya makosa kabisaa
Waje huku NBC tuwaumize tu!!
Wananchi leo ilikuwa gusa achia shikilia moyo😁Mimi kila kitu hakiendi, inauma sana.
Hivi yule jamaa aliye igiza kumwombea Lucky Dube huku akiwa kilingeni bado hajapotea tu baada ya kuiba nyota ya kijana wa Mugabe?Lucky Dube ni striker mfu.
Huyu hapaYule alikuwa anasema yanga anafikisha point 39 na kuwa juu ya simba vipi calculator yake bado inampa namba hizo.
Yaani hawa Waarabu ni kama wamesomea hii tabia yao mbaya ya kupoteza muda. Wanapoteza muda hadi ladha ya mchezo inapotea kabisa.Binafsi nahisi hii mechi imechezwa Kwa takribani dk 40 tu....!! Warabu wamelala mara nyingi sana kuliko hata idadi ya mipira waliorusha, na kila wakilala zinakatika dk angalau 2.
Hawa jamaa itabidi Caf waangalie kukomesha hii tabia Yao, ni Tabia ya ovyo sana sio ya kiuanamichezo.
Ya Ali kamwe...😂😂😂kesho tutegemee press