FT: Yanga 0-0 MC Alger | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.01.2025

FT: Yanga 0-0 MC Alger | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.01.2025

Pole mkuu mngeshinda mechi ya al hilal nyumbani msinge hitaji kukimbizana na muarabu na kwenye hii mechi jamaa hawajafanya makosa kabisaa
Tulikosea tukarudi kwenye mstari then tumekosea tena,tena kwa sababu ya kizembe kabisa, kipindi cha kwanza tunamiliki ila kwenye boksi la mpinzani mpira hautembei. Hii mechi tulikuwa tunahitaji ushindi tuu,sikuona sababu ya kuchezesha mastriker watatu.Ila ndio hivyo huyu kocha ni mpya siwezi mlaumu sababu hujui aliona nini ila na walaumu viongozi kwa kufanya maamuzi ya haraka ya kumleta kocha mpya.
 
Ni huzuni kwa kweli
1000226759.jpg
 
Mimi kila kitu hakiendi, inauma sana.
Wananchi leo ilikuwa gusa achia shikilia moyo😁

waarabu walikuwa na gusa anguka lala twende robo fainali😉😉

Pole sana mtani.
Lucky Dube ni striker mfu.
Hivi yule jamaa aliye igiza kumwombea Lucky Dube huku akiwa kilingeni bado hajapotea tu baada ya kuiba nyota ya kijana wa Mugabe?
 
Binafsi nahisi hii mechi imechezwa Kwa takribani dk 40 tu....!! Warabu wamelala mara nyingi sana kuliko hata idadi ya mipira waliorusha, na kila wakilala zinakatika dk angalau 2.

Hawa jamaa itabidi Caf waangalie kukomesha hii tabia Yao, ni Tabia ya ovyo sana sio ya kiuanamichezo.
Yaani hawa Waarabu ni kama wamesomea hii tabia yao mbaya ya kupoteza muda. Wanapoteza muda hadi ladha ya mchezo inapotea kabisa.
 
Back
Top Bottom