Mpalakugenda
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 4,611
- 5,009
Pole mkuu mngeshinda mechi ya al hilal nyumbani msinge hitaji kukimbizana na muarabu na kwenye hii mechi jamaa hawajafanya makosa kabisaaYote wameyataka viongozi wetu, hii mechi tulikuwa hatuhitaji magoli mengi sikuona sababu ya kuanza na double striker.Ila huwezi jua yy aliona nini, ila viongozi walitukosea kumuondoa Gamondi, huyu kocha anajenga timu kwa falsafa yake,yy anaona amepatia so huwezi mlaumu ila hakutakiwa kuanza na Musonda.
Nashukuru sipo mtaani.
Binafsi nahisi hii mechi imechezwa Kwa takribani dk 40 tu....!! Warabu wamelala mara nyingi sana kuliko hata idadi ya mipira waliorusha, na kila wakilala zinakatika dk angalau 2.Kama kawaida ya waarabu
Hii mechi itaisha kwa jumla ya dakika 60
NyambafuuuuuuTsh uran Scars Kalpana DR Mambo Jambo OKW BOBAN SUNZU Kiweriweri Mac Alpho uran naombeni mnisaidie kumjibu huyu jamaa.
Si mliwatetea sisi tulivyowavurumishia viti?Binafsi nahisi hii mechi imechezwa Kwa takribani dk 40 tu....!! Warabu wamelala mara nyingi sana kuliko hata idadi ya mipira waliorusha, na kila wakilala zinakatika dk angalau 2.
Hawa jamaa itabidi Caf waangalie kukomesha hii tabia Yao, ni Tabia ya ovyo sana sio ya kiuanamichezo.
Sisi tuliyasema haya wakati tunacheza na Sfaxien lakini kwasababu ya adui muombee njaa wengi wakawa upande wa waarabuBinafsi nahisi hii mechi imechezwa Kwa takribani dk 40 tu....!! Warabu wamelala mara nyingi sana kuliko hata idadi ya mipira waliorusha, na kila wakilala zinakatika dk angalau 2.
Hawa jamaa itabidi Caf waangalie kukomesha hii tabia Yao, ni Tabia ya ovyo sana sio ya kiuanamichezo.
π€£π€£π€£π€£π€£Tsh uran Scars Kalpana DR Mambo Jambo OKW BOBAN SUNZU Kiweriweri Mac Alpho uran naombeni mnisaidie kumjibu huyu jamaa.
Hao ni mwakakundi shenziiiiDuh!....Kumbe kuitwa 'mwakarobo' sio kazi nyepesi ?....πππ
Tsh Kalpana DR Mambo Jambo Kiweriweri
Nunua barafu,karanga na muwa uendelee kutafuna barabarani.Wamejificha magetoni mwao.Yaani hapa natembea mtaani nacheka tu mwenyewe. Sijui nishachanganyikiwa?
Mbebeni kwenye machela.Mzigo wenu huo.π€£π€£π€£π€£π€£
Niko na Mshikaji wangu hapa taifa miguu yote imemlegea.
Mi naliitaga pira gusa achia tulale...hahahahhahuau buhahahaha
Nini
Yaache yaseme yamevurugwa hahaa
π€£π€£π€£π€£π€£
Niko na Mshikaji wangu hapa taifa miguu yote imemlegea.
Tupate burudani kidogoYanga timu ndogo. Mashabiki walipokata tamaa dakika za mwisho na wachezaji nao wakakata tamaa.