FT: Yanga 0-0 MC Alger | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.01.2025

Kipofu alitaka kuona mwezi wakamtoboa macho, asanteni waarabu kwa kutupunguzia kelele mjini, sasa utopolo warudi kuendelea kuhonga timu za nbc ili wajisifu kuwa wana kikosi bora

Sasa tutarajie zile nyimbo za "mashindano ya kina mama", "sisi huko tulicheza fainali", "tumewafunga mechi nne mfululizo" kuimbwa sana msimu huu, kufuzu robo fainali mfululizo siyo kwa kila timu, yani watu kwenye mechi za kwanza mrukeruke halafu mtegemee kufuzu kimiujiza kwa kuwatoa watu waliopambana toka mwanzo

Siku ile mlipoambiwa hilal aliwalegezea sababu kashafuzu mkajifanya wabishi eti ubora umerudi, haya leo kapigwa chuma nne na mazembe huko, kama angeamua kukaza unadhani hao vibonde wa kundi wangeambulia hata goli moja
 
Sipingi kitu jada wetu tunae wewe na tunatamba nae😊😊😊
 
TAYARI 🀩🀩🀩
 
TAYARI 🀩🀩🀩
Wewe mbona Mchawi HIVYO... Nimeanguka ghafla na TAYA linaumaa


Mie Ni CHINGA nina Flemu nachukia WATEJA na Namiliki HELCOPTA pale Mwenge Jiulize hela Hapata Wapi... Nikimuona tu mteja Nampa Ugonjwa


🏊🏊🏊🏊🏊🏊 kwenda USA kucheck madhara Ya nyumba Yangu ilioungua moto - Nilijenga kwa Tabu Sana kwa Hela za Unyanganyi, Uporaji, Ufisadi, UONGO wa Kuwabambikia kesi Simba kuwa hawajafuzu


 
Ushabiki wa kibongo ni WA kijinga sana yaani badala mshabikie Timu yenu kuipa Nguvu ,wote walioko uwanjani wanashangaa huku Waarabu ndio wanashangilia 😁😁
Watanzania wanampenda Mpira lakini hawajui kushanglia, watu wanaenda uwanjani kushangaa pitch hata vibes hawana, yaani hata timu ngeni hazipati usumbufu WA kelele kutoka Kwa mashabiki zinacheza zikiwa very comfortable licha ya kuwepo Kwa big crowd.
 
Tulipocheza na C Sfaxien mliwatetea.Sasa guseni achieni mkanye.
 
Watanzania wanampenda Mpira lakini hawajui kushanglia, watu wanaenda uwanjani kushangaa pitch hata vibes hawana, yaani hata timu ngeni hazipati usumbufu WA kelele kutoka Kwa mashabiki zinacheza zikiwa very comfortable licha ya kuwepo Kwa big crowd.
Waarabu hata wakiwa 50 tu amsha amsha zao ni zaidi ya Yanga wote waliobaki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…