FT: Yanga 0-0 MC Alger | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.01.2025

Si mlimuombeaaa???
🀣🀣🀣 Mweee walimuombea wapi tena?
Mungu na mpira wapi na wapi. Hapo uwanjani ninwee mwenyewe kukaz tako upate ushindi hamnaga maombi hapo.

Wanannchi wasivyunjike moyo wapo in the right track mpira hautaki papara ni mipango ya muda mrefu.
2 conswcutive seasons wameweza fika group stage ni mafanikio.
Sasa next season ndio mpango wa kuingia robo. Ile last season kuingia robo was an over achievement.

Ila watafute atriker leftback rightback
 
Chura aka Utopolo amekufa ki umbwa. Ndio muache fedhea na kujua kuna master of masters. Mnyama akiwa mawindoni mwacheni, roho finali sisi ni nyumbani, tunatafuta funguo ya nusu.
Mo asije anza omba hela yake mkitoka robo.
Yule muntale bado yupo?
 
Wamevuna walichopanda

Hersi badala ya kwenda kwa Mkapa kaenda kwa mkutano maarumu wa CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…