Calculator imeingia majicalculator namna gani paleee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Calculator imeingia majicalculator namna gani paleee
Awweeeeee jamaniii huyo kijana ni mgonjwa aiseeNimetoka hapa vip b alikamwe kazimia
Ni balaa sana hadi nilikuwa nalia nikajikaza kiumeAwweeeeee jamaniii huyo kijana ni mgonjwa aisee
Watumie FOUR FIGURECalculator imeingia maji
Wanaenda kuendelea na ligi ya NBC. Wameipania hiyoooNimepishana na Basi la Yanga Hapa mbezi Luis linaenda Kibaha kuna nini muda huu?😂😂
🤣🤣🤣 Mweee walimuombea wapi tena?Si mlimuombeaaa???
Safari ya mwendawazimuIbenge kawafuta machozi ndugu zake😆😄🙄
Mo asije anza omba hela yake mkitoka robo.Chura aka Utopolo amekufa ki umbwa. Ndio muache fedhea na kujua kuna master of masters. Mnyama akiwa mawindoni mwacheni, roho finali sisi ni nyumbani, tunatafuta funguo ya nusu.
You should be proud kucheza geoup stage back to back sii mchezo. Ata simba alimbwela hakufanya hivyo mwanzoni.Proud Kuwa YANGA
Striker mwenyewe dube hilo goli utaoatajeIla tuache utani. Unashindwaje kupata goli moya tu dk zote 90 ukiwa nyumbani huku ukijua hako kagoli kamoja tu kanatosha kukuvusha? Huu ni utoto...
Dk 90 ni lisaa na unusu mjue!
Wamevuna walichopandaGusa. Achia. Twenda kwao.
Ni ligi ya mabingwa Afrika, Yanga wakiwa nyumbani watawakaribisha MC Alger katika mchezo wa mwisho wa makundi.
Ni mchezo ambao Yanga atahitaji kushinda ushindi wa aina yoyote ile ili kuweza kufuzu robo fainali.
Yanga imekuwa na fomu nzuri ya matokeo kwa mechi za karibuni lakini MC Alger nae akiwa na rekodi ya kutopoteza mchezo akiwa ugenini msimu huu.
Mechi hii ya aina yake itapigwa saa 10:00 jioni
Kila la heri kwa Mabingwa wa Tanzania, Taifa lipo nyuma yenu.
View attachment 3205353
Dakika ya 26 yng 0-0mca
Dakika ya 27 mca wanakosa goli la wazi
Dakika ya 28
Mudathir amefanyiwa madhambi
Dakika ya 33
Yanga SC wanapata kona
Dakika ya 35
Yanga SC wanapata kona
Dakika ya 36
Mudathir anakosa goli la wazi
Dakika ya 37
Mca wanapoteza muda sana hapa uwanjani
Dakika ya 45+4
𝐇𝐀𝐋𝐅 𝐓𝐈𝐌𝐄
Young Africans SC 0-0 MC Alger
View attachment 3205382
Kipindi cha pili kimeanza
Mabadiliko anatoka musonda anaingia pacome
Dakika ya 48
Yanga SC wanakosa nafasi ya wazi
Dakika ya 50
Yanga SC wanapata kona
Dakika ya 54
Yng 0-0 mca
Dakika ya 58
Yanga SC wanapata freekick
Dakika ya 60
Mca wanachelewesha sana muda
Dakika ya 63
Kibwana anafanyiwa madhambi
Dakika ya 66
Mca wanakosa goli la wazi
Dakika ya 67
Anatoka mudathir anaingia chama
Dakika ya 68
Yanga SC wanapata freekick
Dakika ya 72
Dube anakosa nafasi ya wazi
Dakika ya 74
Chama anakosa nafasi ya wazi
Dakika ya 80
Yng 0-0 mca
Dakika ya 86
Boka amefanya madhambi hapa
Dakika ya 90+7
𝐅𝐔𝐋𝐋 𝐓𝐈𝐌𝐄
Young Africans SC 0-0 MC AlgerView attachment 3205414
Mkuu, sio wewe ulikuwa unataka kilio cha kubaki kichelewe?Wanaenda kuendelea na ligi ya NBC. Wameipania hiyooo