FT: Yanga 0-0 MC Alger | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.01.2025

Walikuwa wanatangaza biashara ya boss wenu jesemu...
 
Mzab eti na naingia duniani sasa. Lol
Wee ingia tuu sasa tunagusa tunaachia tunakwenda nbc 🀣🀣🀣🀣
Poleni wananchi...ndio futiboli hilo
Ila striker mtafhte maana huyu dube yale maombi nguvu ya soda
 
Hii video hapo juu ndio tatizo lilianzia hapo.Ndio utajua uwezo wa kufikiri wa Gongowazi. Manara alisema kweli wenye akili zinazofanya kazi ni wawili tu.
 
Wee ingia tuu sasa tunagusa tunaachia tunakwenda nbc 🀣🀣🀣🀣
Poleni wananchi...ndio futiboli hilo
Ila striker mtafhte maana huyu dube yale maombi nguvu ya soda
Hakika Mzab.
 
Hakika Mzab.
Aise nawaambie yule full bekinwa singida big stars ande mtu na nusu. Atawasaidia mkimpata maana yao yao majeraha mengi. Kibwana sio kwality ya robo fainali.

Dube ata huko azam alikuwa anaishia raundi za awali so hana experience ya kucheza makundi. Atawafunga kengold tuu🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…