FT: Yanga 0-0 MC Alger | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.01.2025

FT: Yanga 0-0 MC Alger | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.01.2025

Dalili zinaonesha watafungwa Kwa sababu Wana pressure,wanacheza hovyo na watachoka haraka ,msije kusema sijawaambia maana sijaona uchezaji wa uhakika wa magoli.

Leo inaweza kuwa mwisho wao.
Utopolo 🐸 🐸 wanaweza kubadilisha mchezo muda wowote...ukashangaa
 
Back
Top Bottom