kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,089
- 9,664
Bado Dk 60 mpira uishe..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga Ushindi uhakikaLimedabooo sioni goliii la ushindi
Hata sielewisijui ye hua anamuona dube kwa jicho lipi
Utatulia mpaka Yesu anarudi ushindi haupo hapaHebu nitulie nisubirie kushangilia ushindi mi
Sawa, nadhani unaona inavyowapa shida. Sasa pata picha wakichoka. Inawapa shida sana mabeki kwa sababu mbele kule hakuna wakabaji kbsNgoja tuone
Atacheza kweli leo? Sidhani.Ila akiingia Pacome kipindi cha pili mtashinda
Hii game Yanga wamejitakia wenyewe. Kocha ilibidi aanze na kikosi cha mechi ya mwisho walichocheza na Al hilal ama mazembe.
Utopolo 🐸 🐸 wanaweza kubadilisha mchezo muda wowote...ukashangaaDalili zinaonesha watafungwa Kwa sababu Wana pressure,wanacheza hovyo na watachoka haraka ,msije kusema sijawaambia maana sijaona uchezaji wa uhakika wa magoli.
Leo inaweza kuwa mwisho wao.