FT: Yanga 0-0 MC Alger | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.01.2025

FT: Yanga 0-0 MC Alger | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.01.2025

IMG_20250117_115851_624.jpg
 
Ni kote Mkuu, nafikiri ni kamera za CAF hawa wamenunua rights tu.
Mimi najua CAF hua wanatumia broadcast wa Ndani ya mwenyeji kwenye streaming na ukizongatia Azam wana haki ya kurusha hizi mechi kulingana na CAF.

Alafu ukiangalia camera settings na marudio unaona ni Azam hao, check hata mpira ukienda South Africa, au Nchi za Magharibi pattern ya camera ni sawa na Ligi yao.

Ndio maana Kuna Slow motion nchi nyingine nyingine unaona marudio yanakakamaa
 
Back
Top Bottom