SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Lingine Yanga yamanuliwaMagazeti ya kesho yanga yaliwa kiboga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lingine Yanga yamanuliwaMagazeti ya kesho yanga yaliwa kiboga
Yupo sub lakiniAtacheza kweli leo? Sidhani.
Hana akiliBoka kama kaishiwa mbinu hivi
Mimi najua CAF hua wanatumia broadcast wa Ndani ya mwenyeji kwenye streaming na ukizongatia Azam wana haki ya kurusha hizi mechi kulingana na CAF.Ni kote Mkuu, nafikiri ni kamera za CAF hawa wamenunua rights tu.
Ufala Kwa Uto ila kwaoWaarabu washaanza ufala
Hawa jamaa bhana......ndio mbinu zao wawapo ugenini.Waarabu washaanza ufala
Kwa hiyo
Kulala Ni AfyaWaarabu hapa tu ndo wanapoudhi. Kulala lala
Kwani nyie nani amewakataza kulala?Waarabu hapa tu ndo wanapoudhi. Kulala lala
bila kuwachapa hawataacha uo ujinga waoHawa jamaa bhana......ndio mbinu zao wawapo ugenini.