FT: Yanga 0-0 MC Alger | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.01.2025

FT: Yanga 0-0 MC Alger | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.01.2025

Hawa hata tukienda kupumzika hivi hivi 0-0 wakirudi wanakalia kitu. Watarudi wamechoka sana. Trust me. Watakuwa hoi hapo ndo tutajipigia tutakavyo.

Hawana lolote hawa. Hamna team hapa. Yanga ni bingwa. Wasubiri wakitoka mapumziko jinsi watakavyorudi hoi.
 
Back
Top Bottom