FT: Yanga 0-0 MC Alger | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.01.2025

FT: Yanga 0-0 MC Alger | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.01.2025

Ikifika sakika ya 70 bilabila,MC Alger watazidisha kuangukaanguka na possibly,Yanga anawaeza akaaga mashindano hivihivi.Mwalimu awaingize Pacome na Chama,wasaidie kipindi cha pili.Kila la heri Yanga.
 
Kiufupi wachezaji wa Yanga hawana akili za ufungaji ,mechi kama hizi Pacome na Mwamba wa Lusaka ndio wanatakiwa waamue mechi maana ndio wenye akili
Hii mpya baada ya wenye akili utopoloni kuwa wawili mzee kikwete na mama karume
Sasa mpya kwenye kikosi cha utopolo wenye akili ni wawili chama na pacome waliobaki wote malofa 🤣
 
Back
Top Bottom