Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chama kimbiza kimbiza si mechi zake, team ikiwa inaongoza ndio aingieKocha afanye sub upesi atoke Dube na Musonda, atuwekee Chama na Pacome. Sijui anasoma hizi jumbe.
Uto wanalalamika tu humuUto mbona mpo kimya ?
Yanga ataongoza hili kundi
Hahahaahaa YANGA vituko vingiHivi calculator inasemaje..yaani inatakiwa kufunga goli ngapi?
NaogaUnafanya nin huku
Kwahiyo Dube ndo mechi zake!?Chama kimbiza kimbiza si mechi zake, team ikiwa inaongoza ndio aingie
Ndizo watakazo fungwa muda sio mrefuNasikia Yanga anaongoza 2!
Huku TANESCO wamefanya yao. Naombeni matokeo
Ni kweli kabisaNasikia Yanga anaongoza 2!
Huku TANESCO wamefanya yao. Naombeni matokeo
3Alger wameudhibiti mfumo. Hakuna ujinga ambao yanga wamecheza
Hii mpya baada ya wenye akili utopoloni kuwa wawili mzee kikwete na mama karumeKiufupi wachezaji wa Yanga hawana akili za ufungaji ,mechi kama hizi Pacome na Mwamba wa Lusaka ndio wanatakiwa waamue mechi maana ndio wenye akili
Umesikia vibaya sio yanga ni tp mazembe 😅Nasikia Yanga anaongoza 2!
Huku TANESCO wamefanya yao. Naombeni matokeo