Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Mashabiki kuweni wavumilivu ...Huyu Prince mpumbavu Dube anafanya nini humu mpaka sasa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mashabiki kuweni wavumilivu ...Huyu Prince mpumbavu Dube anafanya nini humu mpaka sasa?
Wakishinda Leo ndio Watapata pointi za nafasi ya 5.Utopolo wapi nafasi ya 5, hujahudhurua vikao vya humu.
Zipo mkuu..... Wanahitaji umakiniWakishinda Leo ndio Watapata pointi za nafasi ya 5.
Wewe unaona dalili za kushinda hapa?
Game mpaka muda huu ishaishaBeki wanahitaji kuwa na umakini, kosa moja tu game inaisha.
Hao Tp wazembe hovyo tu.....wanakumbuka shuka asubuhi...
Ni wapumbavu hawa Mazembe, mwangeshinda mechi ya yanga ile ya sare walikuwa wananafasi ya kufuzu
Ila hii game niliona kabisa mazembe anashinda
Mbona mpaka dakika hii washatushangaza mkuu..usinambie bado hujashikwa na mshangao kama sis wengine?.Hawa Waarabu wasije kutushangaza, wanacheza kwa akili sana.
DubeGoma gumu....Atoke nani tena.?
Kupoteza mudaWanajiangusha sana waarabu hawa