Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Nawaonea huruma uchungu wa kizalendo (utanzania) Ila Hali ni mbaya kwa young African...maana safu yenu ya ushambuliaji ya yanga imesha ishiwa MBINU..Bado saa moja na dk 4 nikimbie niende wapi mazee wakati baada ya gemu ni sherehe tu..
The only way to win this game ni kushinda..beki za MCA zipo fasta na makini Sanaa...
Hii mechi Kama taifa ni MUUJIZA utokee