mama kubwa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 6,230
- 9,889
๐๐๐๐... Marehemu alikuwa anaamini sana Calculator
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐๐๐๐... Marehemu alikuwa anaamini sana Calculator
Daaah!!!!Kwangu ni kama mpira ndio unaanza. Tutakesha humu jamvini
Mavi debe. Gongowazi sasa ile stori ya kichaka kufekwa tutawaambia nini watu?Siku zote nikishamuona tu Musonda, Najua leo hakuna ushindi.
Yamekuwa hayoo tenaKundi A
lilikua gumu sana utofauti wa point moja moja sio mchezo ๐คฃ
syntax ErrorIbenge scientific calculator: 7ยก+3j= please wait , unable to solve, math error.
YametolewaEti mwakarobo, aah yalifikiri kufika robo ni rahisi
Kawaida yake huyoHivi Al Hilal mbona anafungwa Sana. Au kusudi?
Kumbe vichwa vitupu hasa vya bata tupo simba ๐๐ *****Kuna watu leo watajifanya wapo busy na mkutano mkuu wa CCM, hii tunaijua. ๐