Gwele
JF-Expert Member
- Jun 7, 2016
- 2,604
- 3,319
Nimelikumbuka tu baada ya mechijina langu,vipi unanidai kijana?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimelikumbuka tu baada ya mechijina langu,vipi unanidai kijana?
Huwezi ku comment mpaka uandike matusi?Gusa achia ukanye.Usibane mavi ndio imeingia hiyo.Mwaarabu kafanya yake.
Hii ndio yenyewe 😄😃😀😀
Inakuuma chomoa.Huwezi ku comment mpaka uandike matusi?
Na hii je?Hii ndio yenyewe 😄😃😀😀
😃😄😀😀😀😀😀😀😀
Na haka kajamaa kanawa pump sana na nyie mnajaa mnajiona Liver😃😄😀😀😀😀😀😀😀
Hiyo full tank labda ukaifanye kwenye rejetaWazee kesho magoli mawili tuu nijaze full tank yangu, msiniangushe tuu 😀😀😀
Usiwaze mzeePoleni watani zetu i'm really sorry but I have no choice
Hata nyie wachezaji wenu walitakiwa wavae hivi viatu ili muweze kutoboaUsiwaze mzee
Pambaneni mtoboe
Yanga haijafungwa bali imetolewa!! Inabidi wdelea simba!!anachi walalamike kwa CAF!! Uonevu gani huu!! CAF wanaipendelea simba!! Kwa nini simba wanaendelea hata kabla ya mechi??Yanga haikufungwa!