FT: Yanga 0 Azam 0. Azam wametinga fainali kwa kuwafunga Yanga Penati 8 kwa 9

Yanga acheni janja janja ya kutukimbia. Kazeni tuwakaze!!
 
Azam wanajitahidi sana ila ndo hivyo kwenye mpira bahati nayo ipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…