zipompa
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 11,432
- 24,596
Faulo imerudiwa mara 4 na kuonesha dhahiri ila Bado hutakHuwajui Wachezaji wa Kibongo wewe....!
Janja nyingi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Faulo imerudiwa mara 4 na kuonesha dhahiri ila Bado hutakHuwajui Wachezaji wa Kibongo wewe....!
Janja nyingi.
[emoji23][emoji23][emoji23] hapo anataftwa mtu wa kujiangusha kwenye box.muda wowote kuanzia sasa Injinia atafanya muamala ili Utopwezo wapewe tuta.
Timu gani yenye ubabe zenji pale.Walikutana wanao ongoza ligi timu zote (wababe )
Una draw na mtu wa 8 hahahah
Naam sisi Utopolo original na hilo pira magimbi ndio asili yetu ukitaka pira lunyasi pira birian nenda kwa mnyama sisi ushindi daima mbele tuHumu wengi tumetawala yanga ukiachama na muanzisha uzi
Ndo ivyo mkuu.[emoji23][emoji23][emoji23] hapo anataftwa mtu wa kujiangusha kwenye box.
Sheria zinasemaje kama watamaliza droo