FT: Yanga 0 Azam 0. Azam wametinga fainali kwa kuwafunga Yanga Penati 8 kwa 9

FT: Yanga 0 Azam 0. Azam wametinga fainali kwa kuwafunga Yanga Penati 8 kwa 9

Feisal anakaa chini kwa ishara gani?

Anapoteza muda kindeezi haoni hata aibu
 
Feisal anatolewa nje inaonekana ana majeruhi, na anaingia mayele
 
kwA mpira wa yanga tunao ufahamu leo anacheza kilevi mno
 
Nice header kongole sana azam japo kipa kadaka ila nimeipenda hii
 
Huyu mnyama aliye pumulia mashine na ka timu no. 08 kwenye msimamo hahahaha mkuu acha utani najua waandika ila moyoni unaogopa mno

kwA taarifa tu namungo anamtoa simba
Hili Ni kombe la Mapinduzi si ligi ya Zanzibar.

Yanga 2-2 KMKM
 
Huyu mnyama aliye pumulia mashine na ka timu no. 08 kwenye msimamo hahahaha mkuu acha utani najua waandika ila moyoni unaogopa mno

kwA taarifa tu namungo anamtoa simba
Punguza kubeti. Kubeti si kazi wala ajira.

Utopolo mnapumulia mashine, Azam anashika shika kalio huko.

Tunawahitaji Utopolo fainali ili tujipigie tu
 
Back
Top Bottom