zipompa
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 11,432
- 24,596
Wapumbavu hao ngoja tusubiri waangukiane tu hakuna mchezo wa maana hapaPiga hovyo na kupoteza mpira na kusababisha goal kick
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapumbavu hao ngoja tusubiri waangukiane tu hakuna mchezo wa maana hapaPiga hovyo na kupoteza mpira na kusababisha goal kick
Mechi ya mwisho mchezaji wenu aliyeonekana bora alikuwa ni diarraDodoma mbali akutane na simba tu huwa wanapotea
Katolewa kaingia mayeleFeisal anakaa chini kwa ishara gani?
Anapoteza muda kindeezi haoni hata aibu
Amekuja kuzibeba lawama maana asingekuwepo yeye ungesikia tumetolewa kwasababu mayele hakuwepoKatolewa kaingia mayele
Kaja kumaliza mpira, utani ulikuwa mwingiAmekuja kuzibeba lawama maana asingekuwepo yeye ungesikia tumetolewa kwasababu mayele hakuwepo
Mpaka saizi sijamuona kugusa mpiraKaja kumaliza mpira, utani ulikuwa mwingi
Hili Ni kombe la Mapinduzi si ligi ya Zanzibar.Huyu mnyama aliye pumulia mashine na ka timu no. 08 kwenye msimamo hahahaha mkuu acha utani najua waandika ila moyoni unaogopa mno
kwA taarifa tu namungo anamtoa simba
Mkuu ndo kaingia hata dk 5 Bado hahahahahaMpaka saizi sijamuona kugusa mpira
Dogo anajitahidiHuyu kipa wa yanga anaroho pea mbili?
Ajibu ujinga mwingi, kulikuwa na haja gani ya kuweka konga vileajibu kapewa yellow kadi baada ya kumchezea moloko faulo
Punguza kubeti. Kubeti si kazi wala ajira.Huyu mnyama aliye pumulia mashine na ka timu no. 08 kwenye msimamo hahahaha mkuu acha utani najua waandika ila moyoni unaogopa mno
kwA taarifa tu namungo anamtoa simba
Walikutana wanao ongoza ligi timu zote (wababe )Hili Ni kombe la Mapinduzi si ligi ya Zanzibar.
Yanga 2-2 KMKM