Kila siku tunawambia kuwa wana kikosi cha kawaida ila hawataki kuelewa, haya sasa full mkoko lakini hawajafua dafu.Yani kama LIGI kuu wasingekuwa wanahonga marefa mpaka sasa wegnekuwa wamedodondosha zaidi ya point 5.
Nina uhakika kabisa kama hii ndo ingekuwa mechi ya LIGI kuu na wamebanwa hivi, mpaka sasa wangekuwa wetafutiwa penalty ili washinde kwa lazima.