FT: Yanga 0 Azam 0. Azam wametinga fainali kwa kuwafunga Yanga Penati 8 kwa 9

FT: Yanga 0 Azam 0. Azam wametinga fainali kwa kuwafunga Yanga Penati 8 kwa 9

Mpigaji ni lusajo gooooal naye kafunga goli
 
Haya tena penalty pa pili kwa yanga hapa na mpigaji ni mauya

Mauyaaaaaaaaa gooooal
 
Haya tena ni zamu ya azam nao wanapiga penalty ya pili

Rojaz anapiga 1,2,3 goooal
 
Kila siku tunawambia kuwa wana kikosi cha kawaida ila hawataki kuelewa, haya sasa full mkoko lakini hawajafua dafu.Yani kama LIGI kuu wasingekuwa wanahonga marefa mpaka sasa wegnekuwa wamedodondosha zaidi ya point 5.

Nina uhakika kabisa kama hii ndo ingekuwa mechi ya LIGI kuu na wamebanwa hivi, mpaka sasa wangekuwa wetafutiwa penalty ili washinde kwa lazima.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya tena ni yanga tena kwa ajili ya kupiga penalty ya tatu

Dikson job anapiga mkwaju hapa wa penalty

Goooooal
 
Haya ngoja tuwaone azam nao

Mpigaji ni kenned

Kennedy goooal halafu kiwepesi sana
 
Back
Top Bottom