FT: Yanga 0 Azam 0. Azam wametinga fainali kwa kuwafunga Yanga Penati 8 kwa 9

😄😃😀😁😆😅🤣😂😅😆😆😁😄😄😄😃😆😁😁😄😉
Makwapa Mtanyanyua Wapi?
Hasira zote sasa tunahamishia ligi kuu. Penati hazina mwenyewe.
 
Ndiyo Ukweli Penati Ni Bahati Tu
Leo Yanga ilicheza hovyo! Hivyo ilistahili kabisa kutolewa. Na utashangaa wakasingizia uwanja wa nyasi bandia, na wakati miaka lukuki sasa hata uwanja tu wa mazoezi hawana.

MIaka nenda viongozi wanaleta siasa tu. Yaani wamezigeuza hizi timu mbili, simba na yanga kama daraja la mafanikio yao kisiasa na kiuchumi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…