FT: Yanga 0 Azam 0. Azam wametinga fainali kwa kuwafunga Yanga Penati 8 kwa 9

FT: Yanga 0 Azam 0. Azam wametinga fainali kwa kuwafunga Yanga Penati 8 kwa 9

Haikua jambo rahisi kumtoa makambo

giphy.gif
 
Ndiyo Ukweli Penati Ni Bahati Tu
Leo Yanga ilicheza hovyo! Hivyo ilistahili kabisa kutolewa. Na utashangaa wakasingizia uwanja wa nyasi bandia, na wakati miaka lukuki sasa hata uwanja tu wa mazoezi hawana.

MIaka nenda viongozi wanaleta siasa tu. Yaani wamezigeuza hizi timu mbili, simba na yanga kama daraja la mafanikio yao kisiasa na kiuchumi.
 
Back
Top Bottom