Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😄😃😀😁😆😅Azam wakauze ukwaju, kombe tushabeba hili.
Pale simba hawampi nafasi tu, inatakiwa mechi za Lupaso awe anapewa nafasi.Hahaaaa huyu Banda hatar sana!!
😄😃😀😁😆😅🤣😂😅😆😆😁😄😄😄😃😆😁😁😄😉Yanga twende kazi! Hakuna kombe la kuacha msimu huu!! Tulianza na Ngao ya Jamii, na hata sasa tunaendelea.
Na ikumbukwe sisi ndiyo Mabingwa Watetezi wa hili Kombe.
KabisaNasikitika yanga kutolewa
Wamewadondosha Lile Genge La WahuniAzam kwa bidhaa bora na viwango vya kimataifa.
Hasira zote sasa tunahamishia ligi kuu. Penati hazina mwenyewe.😄😃😀😁😆😅🤣😂😅😆😆😁😄😄😄😃😆😁😁😄😉
Makwapa Mtanyanyua Wapi?
Ndiyo Ukweli Penati Ni Bahati TuHasira zote sasa tunahamishia ligi kuu. Penati hazina mwenyewe.
Leo Yanga ilicheza hovyo! Hivyo ilistahili kabisa kutolewa. Na utashangaa wakasingizia uwanja wa nyasi bandia, na wakati miaka lukuki sasa hata uwanja tu wa mazoezi hawana.Ndiyo Ukweli Penati Ni Bahati Tu
Kwa hiyo unataka kusema ndo yupo Nungwi akirudi bara. Akifika anaingia Tena kidwimbwini kwao
Haya njoo uone huku Sasa 🤣Hahahaaaa. Hapo baadae ndo mtajua hamjui.
Kama sitalala ntakutafuta rafiki.